
32 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Gwiji wa Argentina, Lionel Messi, ametangaza kustaafu soka la kimataifa, akisema uamuzi huo “uliumiza” lakini “wakati umefika.” Huku hayo yakijiri, Arsenal imeichapa Aston Villa 1-0, bao la ushindi likifungwa na Bukayo Saka. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura