
37 views
Kosa linapotokea kazini, kiongozi hapaswi kukimbilia kumwadhibu mfanyakazi kwa kukata mshahara. Ni muhimu kwanza kuchunguza kilichosababisha kosa, kuelewa mazingira na kutafuta suluhisho. Uongozi bora hujenga wafanyakazi kwa kuwasaidia kujifunza kutokana na mak