
37 views
Kama Chef, alijifunza kuwa kila mfanyakazi ni tofauti na huhitaji namna yake ya kushughulikiwa. Wengine huhitaji kukemewa, wengine kuonyeshwa makosa yao kwa utulivu, na wengine kupewa muda wa kubadilika. Somo kubwa ni kumjua kila mtu unayefanya naye kazi ili uweze kuwa kiongozi bora.