
63 views
Video inayosambaa mtandaoni imeibua mjadala baada ya msichana kuonekana akilia na kupinga kulazimishwa kuolewa. Licha ya kuonyesha kutotaka ndoa hiyo, kilio chake hakikuonekana kusikilizwa. Tukio hilo limezua maswali kuhusu ridhaa, ndoa za kulazimishwa na haki ya mtu kuchagua maisha yake.