13 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 31 Aug 2026
2:41
Wanaume siku hizi wanaonekana kuwa focused zaidi kwenye kazi, pesa na kujenga maisha, kiasi kwamba hata partying imepungua. Je, ni maturity, priorities zimebadilika, ama ni pressure ya maisha?