80 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 31 Aug 2026
5:31
Mtuhumiwa Mkuu Bado Hajulikani Alipo Sang, anayetajwa kuwa mtuhumiwa mkuu katika kesi inayohusisha mauaji ya Dkt. Mutiso, bado hajulikani alipo. Wakati huo huo, polisi mwingine anayehusishwa na tukio hilo amekamatwa nchini Uganda.