
48 views
Host: Christine Kambua Kioo cha Jamii: Kama mzazi, ni muhimu kuzungumza na mtoto wako angali mchanga na kumwelekeza kuhusu mahusiano na maadili. Lakini ukimkuta mtoto wako akijihusisha na mapenzi akiwa bado mdogo, utachukua hatua gani? Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura