
154 views
Hosts: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Arrowvee ni msanii aliyetoa wimbo “Ruto Aende Nyumbani.” Katika mazungumzo haya, anashiriki safari yake ya muziki, akieleza jinsi alivyoanza, hatua alizopitia na uzoefu uliomjenga katika career yake ya muziki. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura