83 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 28 Aug 2026
3:58
Hosts: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali TSC imekanusha madai kwamba wabunge hupewa barua za ajira za walimu kutoka state house, ikisema ni tume pekee yenye mamlaka ya kuajiri walimu. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura