
28 views
Hosts: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Serikali inasema uchumi wa Kenya uko imara na unaendelea kukua, lakini hali halisi kwa mwananchi iko vipi? Bei za bidhaa, gharama ya maisha na hali ya mfuko wako zinakuambia nini? Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura