
41 views
Host: Amani Aila Washa Taa ni kitengo kinachokupa nafasi ya kushiriki na kutafakari Neno la Mungu. Kupitia mafundisho, aya za Biblia na ushuhuda, tunajenga imani, kutiana moyo na kuwakumbusha wengine kwamba Neno la Bwana ni mwanga katika maisha yetu. Producer: Mercy Shirley