191 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 27 Aug 2026
30:01
Gharama kubwa ya vifaa, mafundi na huduma nyingine za ujenzi imefanya kujenga kuwa changamoto kwa Wakenya wengi. Hali hii inawalazimu watu kutafuta njia mbadala za kupunguza gharama bila kuathiri ubora na usalama wa majengo.