22 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 27 Aug 2026
9:14
Zamani, mtu aliyekuwa akienda kuomba kazi alitarajiwa kuvaa suti au mavazi rasmi, huku usafi na mwonekano wa jumla ukizingatiwa sana. Lakini kizazi cha sasa kina mtazamo tofauti kuhusu mavazi na kujieleza binafsi.