
67 views
Hosts: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Njeri wa Migwi anasimulia jinsi alivyoanzisha shirika la Usikimye wakati wa janga la Corona. Anasema wazo hilo lilitokana na kuongezeka kwa visa vya dhuluma za kijinsia wakati huo. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura