
37 views
Hosts: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Njeri wa Migwi anasimulia jinsi mumewe alivyomlazimisha kuacha kazi ili abaki nyumbani kumlea mtoto. Amesema uamuzi huo uliathiri maisha yake na safari yake ya kujitegemea. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley