60 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 27 Aug 2026
7:20
Hosts: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Njeri wa Migwi anasimulia jinsi alivyopigwa na mumewe na kupata uchungu wa kujifungua mapema. Anasema mumewe alitoroka na kwenda nchi nyingine baada ya tukio hilo. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura