86 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 27 Aug 2026
10:44
Hosts: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Njeri wa Migwi amefichua kwamba aliingia katika ndoa akiwa na umri wa miaka 15. Amesimulia changamoto na uzoefu aliopitia baada ya kuolewa akiwa bado mtoto. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura