28 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 27 Aug 2026
3:42
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Zamani ukimkosa mtu, uliandika barua na kusubiri majibu. Leo, simu imefanya mawasiliano kuwa ya papo hapo. TBT hii inakukumbusha nini? Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura