
136,123 views
Calvo Mistari feat Hussein Machozi
6 Apr 2015
Mwanaume ni Efffort the album on iTunes - http://smarturl.it/mwanaumenieffort “Wewe ni zaidi ya pesa , Sikulinganishi na chochote…” Mpendwa aki kuapia matamu kama haya, mtu hujipata amepagawa… Haya ndiyo mapaya Calvo Mistari pamoja na Hussein Machozi, wamewatungia wapendwa wao katika nyimbo yao mpya: DATISHA “Kwa mashabiki wetu hodari, ma fans wetu wa nguvu, kwote Afrika mashariki ambao hawana mfano; kwa kutuvumilia, kwa kuendelea kutupa morali, kwa kusimama nasi imara bila kusita tunawashukuru sana. Kweli mume tu-Datisha” Credits: Title: Datisha Artist: Calvo Mistari featuting Hussein Machozi Bgvs By Ndera Isho Production: Produced by - Dillie ; Mixed by - Dillie at Grand Empire Studios Video: Produced by TeamMistari Director: Edu G Editor: Arnold Korir Gfx: John Oyamo
Calvo Mistari and Naiboi feat Zzero Sufuri and Bobby Mapesa
Bobby Mapesa and Calvo Mistari feat Mr Blue