48 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 26 Aug 2026
3:45
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Rwanda yasitisha uagizaji wa bidhaa tano za vileo kutoka Kenya, huku KEBS ikisema bidhaa hizo zimekidhi viwango vya usalama vya Kenya na Jumuiya ya Afrika Mashariki.