
345 views
Host: Chris Kimuya Maoni mbalimbali yameibuka kutoka kwa wananchi kuhusu uongozi, siasa na mustakabali wa Kenya. Kutoka kwa nguvu za vyama hadi utendaji wa wabunge na madai kuhusu makundi ya goons, wananchi wamezungumza waziwazi kuhusu masuala yanayowagusa.