483 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 26 Aug 2026
3:22
Host: Chris Kimuya Mjadala ukiendelea, wananchi wanatoa maoni yao kuhusu uongozi wa nchi na mustakabali wa Kenya. Mmoja wao amesema anaamini Sifuna ndiye anayeweza kusimama na kumpeleka Ruto nyumbani. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura