
24 views
Host: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali CS wa Michezo, Salim Mvurya, amesisitiza kuwa maandalizi ya Kenya kwa AFCON 2027 yanapaswa kuendelea kwa kasi, huku serikali ikikamilisha miundombinu na kutekeleza matakwa ya CAF kwa wakati. Kenya, Uganda na Tanzania zitakuwa waandaaji wa AFCON 2027. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley