78 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 25 Aug 2026
9:42
Mtumiaji ana haki ya kurejeshewa fedha endapo bidhaa imewasilishwa kwa maelezo ya uongo au ya kupotosha. Competition Authority of Kenya hushughulikia masuala ya bidhaa au matangazo ya uongo na kulinda haki za watumiaji.