7 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 25 Aug 2026
9:17
Consumer ana haki ya kulalamika anapoona bei ya bidhaa au huduma si ya haki, pamoja na kudai bidhaa yenye ubora unaolingana na thamani anayolipa. Kujua na kutumia haki hizi ni muhimu katika kulinda maslahi ya mlaji.