11 views
Radio Maisha Staraabika on Radio Maisha
Aired 25 Aug 2026
2:20
Tukio la kutisha linazua maswali baada ya mtu aliyedaiwa kubisha gate bila kufunguliwa kuvamiwa na watu wasiojulikana, kupigwa na kuvuliwa nguo kabla ya kuachwa akiwa amejeruhiwa na kutokwa na damu