
1,638 views
Kuna dhana kwamba kundi la Linda Mwananchi halina chama cha kisiasa, lakini viongozi wake wanaendelea kusisitiza msimamo wao na nafasi yao katika siasa za Kenya. Katika video hii, tunaangazia ukweli kuhusu muundo wa kisiasa wa kundi hilo, malengo yake na nafasi yake katika mwelekeo wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027.