17 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 25 Aug 2026
10:38
Katika siasa, kila chama kinataka kuonekana kuwa chaguo bora zaidi kwa wananchi. Lakini ushindani wa kisiasa unahitaji zaidi ya kauli na ahadi—vyama vinapaswa kuonyesha sera, viongozi, mipango na uwezo wa kuleta mabadiliko yenye maana.