
18 views
Vipimo vya DNA vimeendelea kuwa njia muhimu ya kuthibitisha uhusiano wa kibaiolojia kati ya mtoto na anayedaiwa kuwa baba yake. Takwimu zinaonyesha kuwa kati ya vipimo vinne vya ubaba vinavyofanywa, vitatu vinathibitisha kuwa mwanaume aliyepimwa ndiye baba wa kibiolojia.