
50 views
Host: Amani Aila Mwanamke anashiriki ushuhuda wa mama yake aliyeumwa na nyoka na hali yake kuwa mbaya, lakini kwa neema ya Mungu alipata nafuu na kuendelea kuwa salama. Ni ushuhuda unaotukumbusha kuwa Mungu ni mwaminifu na anaweza kutenda hata katika nyakati ngumu. Producer: Mercy Shirley