
13 views
Host: Amani Aila Washa Taa ni kitengo ambacho watu hushiriki mistari ya Biblia kwa ajili ya kuimarisha na kutia nguvu imani ya wengine. Kupitia Neno la Mungu, tunapata faraja, tumaini, mwongozo na nguvu ya kukabiliana na kila siku. Producer: Mercy Shirley