
26 views
IEBC imefafanua kuwa shahada ya chuo kikuu si sharti la mtu kuwania kiti cha kisiasa nchini Kenya. Hii ina maana kuwa mtu anaweza kugombea nafasi ya kisiasa bila kuwa na degree, iwapo atatimiza sifa na masharti mengine yanayotakiwa kisheria.