
28 views
IEBC imesema kuwa mtu hahitaji kuwa na shahada ya chuo kikuu ili kugombea kiti cha kisiasa nchini Kenya. Hii ina maana kwamba sifa za elimu kwa wagombea hazilazimishi kuwa na degree, mradi mgombea atimize vigezo vingine vilivyowekwa kisheria kwa nafasi anayowania.