
3 views
Kujenga chapa inayotegemewa na kuaminiwa na wateja ni moja ya changamoto kubwa katika biashara. Uaminifu wa brand haujengwi kwa siku moja, bali hujengwa kupitia ubora wa bidhaa au huduma, uthabiti wa mawasiliano, huduma bora kwa wateja na uzoefu mzuri kila mteja anapokutana na brand yako.