
38 views
Drama ilizuka wakati wa mazishi katika Wadi ya Lusheya/Lubinu, Mumias Mashariki, Kaunti ya Kakamega, baada ya MCA wa eneo hilo na mpinzani wake mkuu kuripotiwa kupigana. Tukio hilo lilivuruga hafla ya mazishi na kuwavutia waombolezaji pamoja na wakazi waliohudhuria.