
534 views
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amesema mambo yanayozua mjadala mkali kuhusu msimamo wa viongozi wa upinzani na siasa za muungano kuelekea uchaguzi wa 2027. Je, Kalonzo Musyoka ndiye anayemwelekeza Sifuna kisiasa, au ni tofauti za msimamo ndani ya upinzani?