1,472 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 24 Aug 2026
10:18
Kauli hii imeibua mjadala kuhusu kiwango cha uungwaji mkono ambao Seneta Edwin Sifuna anaonekana kupata kutoka kwa wananchi na wafuasi wake. Je, michango hiyo inaashiria nini kuhusu umaarufu wake na nafasi yake katika siasa za Kenya?