
60 views
Je, ahadi za serikali zimekuwa nyingi kuliko utekelezaji? Wakenya wanaendelea kuhoji iwapo maneno matamu ya viongozi yanaendana na hali halisi wanayopitia wananchi. Katika mjadala huu, tunaangazia malalamiko kuhusu ahadi za serikali, changamoto za kiuchumi na hisia za wananchi kwamba mambo mengi yameahidiwa lakini utekelezaji umekuwa wa kusuasua. Je, serikali inatimiza ahadi zake au Wakenya wamechoka kusikia maneno bila vitendo?