
168 views
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amemtaka Rais William Ruto kutolirudisha nyuma taifa katika suala la demokrasia na uhuru wa kisiasa. Uhuru anasisitiza umuhimu wa kuipa nafasi upinzani kufanya kampeni na kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kisiasa.