
13 views
Host: Jimmy Mambo Ushuhuda huu ni wa ndugu mmoja anayeshuhudia kuwa Mungu alimlinda na kumsitiri baada ya kushambuliwa na walevi. Alikuwa katika hali ya hatari, lakini kwa neema na rehema zake, Mungu alimuokoa. Hakika, Mungu ni mwaminifu na yupo nasi katika kila hali. Producer: Mercy Shirley