13 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 24 Aug 2026
6:34
Host: Jimmy Mambo Katika kila hali tunayopitia, iwe ni furaha, changamoto au kipindi kigumu, Mwenyezi Mungu yupo pamoja nasi. Usikate tamaa; uwepo wake unatupa nguvu, faraja na tumaini la kuendelea mbele. Producer: Mercy Shirley