
142 views
Host: Kambua Christine Tuliwachagua kwa matumaini ya kuleta mabadiliko, maendeleo na uwajibikaji. Lakini baada ya muda, je, utendaji wao unaonyesha kweli taswira ya viongozi bora tuliowatarajia? Ni wakati wa kutathmini uongozi wao na kusema ukweli. Producer: Brenda Obura