
64 views
Host: Kambua Christine Chuo Kikuu cha Egerton kimeanzisha Lango la Wazazi litakalowawezesha wazazi na walezi kufuatilia kwa urahisi maendeleo na utendaji wa wanafunzi wao kielimu. Mfumo huu unalenga kuimarisha mawasiliano kati ya chuo, wanafunzi na wazazi, pamoja na kuwapa wazazi taarifa muhimu kuhusu maendeleo ya masomo ya watoto wao. Producer: Brenda Obura