
30 views
Hosts: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Nichole anasema AI inaweza kurahisisha kazi kwa kiasi kikubwa, lakini pia inaweza kuchukua nafasi ya baadhi ya kazi za watu ambao hawajajifunza kuelewa na kutumia teknolojia hiyo. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura