
566 views
Hosts: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Msimu wa 2026–27 wa Ligi Kuu unaanza siku ya Ijumaa, 21 Agosti, ambapo mabingwa watetezi Arsenal watachuana na timu iliyopanda daraja hivi karibuni, Coventry City, katika Uwanja wa Emirates. Producer: Mercy Shirley & Brenda Obura