
67 views
Host: Amani Aila Daudi anasimulia jinsi alivyokuwa mlevi, lakini tukio fulani katika maisha yake lilimfanya ajitafakari, abadili njia na kumrudia Yesu. Leo anashuhudia kuhusu safari yake ya wokovu na maisha mapya ndani ya Kristo. Producer: Mercy Shirley