21 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 20 Aug 2026
8:53
Magreth Chacha anatoa wito kwa watu kuwathamini, kuwaheshimu na kuwatendea kwa heshima wasanii wanaoimba nyimbo za injili, kwa kutambua mchango wao katika kueneza ujumbe wa imani na kuwabariki watu kupitia muziki wao.