
69 views
Hosts: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Katika Survivor Series, Joyce Wambua anatushirikisha safari yake ya maisha kama mhamiaji Marekani—kuanzia safari yake ya kuondoka Kenya, changamoto za ujauzito, kazi za nyumbani, hadi tofauti za maisha na tamaduni kati ya Kenya na Marekani. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley