
43 views
Hosts: Wyclif Okumu & Dalmus Sakali Joyce anaeleza kuhusu kazi ya nyumbani aliyofanya nchini Marekani kwa familia ya Mnigeria, akisema uzoefu huo ulimnyenyekesha na kumfundisha mengi kuhusu maisha akiwa mhamiaji. Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley