24 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 20 Aug 2026
14:46
Host: Wyclif Okumu & Mercy Shirley Kenya inajiandaa kwa El Niño huku zaidi ya Wakenya milioni 1.5 wakitarajiwa kuathiriwa na mafuriko. Je, kama nchi tumejiandaa kikamilifu kukabiliana na hali hii? Producer: Brenda Obura & Mercy Shirley